| JINA LA ASILI | DALILI | KISABABISHO (PRESUMPTIVE DIAGNOSIS) | DALILI KUU (CLINICAL SIGNS) | MATIBABU RAHISI LAKINI MUHIMU NA HARAKA TENA KWA GHARAMA NAFUU |
Kideri/ Mdondo (Newcastle Disease) | Kusinzia, kuhara, kushusha mabawa chini, kukosa hamu ya kula nk | Newcastle Virus | Kuku kuharisha kinyesi cha kijani/cheupe km chokaa na njano, kukohoa, kuhema kwa shida, kutokwa na mate mdomoni,kizunguzungu, kishiwa na maji, kukosa hamu ya kula,kushusha mabawa chini,kuku kufa hadi 90%. |
- Pilipili kichaa na majivu
- Katani/Alovera
- Kitaalam tumia chanjo ya NEWCASTLE.
- Usafi wa banda &vyombo vote.
- Usafi wa mazingira na kuchoma moto mizoga yote.
- Usiruhusu watu kiungia ovyo bandani/usiingize kuku asiyechanjwa.
- Fuata ushauri wa daktari
|
| Ndui (Fowl Pox) | Vipele kwenye upanga (Nodules) na sehemu zisizo na manyoya. | Fowl pox | Vipele kwenye upanga,masikio.miguu na sehemu zisizo na manyoya.Kuku hufa hasa wale wadogo. |
- Kuku wapewe chanjo, vitamin na antibayotiki (kiua vijasumu).
- Uasfi wa banda na mazingira viimarishwe.
|
| Mafua ya kuku/ Kuvimba macho | Swollen eyes/ Flu | Bakteria | Kuvimba uso na macho,kamasi hutiririka kutoka puani na mdomoni,hukohoa,huhema kwa shida na kukoroma, utando mweupe/njano kwenye macho),upofu,nk | Boresha Usafi wa banda na mazingira yake, kuku wagonjwa watengwe na ikibidi wachinjwe. Muone mtaalam wa mifugo ili upate chanjo. |
| Ugonjwa unaoshambulia mfumo wa hewa. | Chronic Respiratory infection. | Infections bronchitis laringotracheitis/Chicken Influenza (Bakteria) | Kuku hupata Mafua, kushindwa kupumua,hutokwa na makamasi,vifaranga hudumaa,utagaji hupungua na viungo vya mifupa huvimba. | Boresha usafi, hakikisha kuna hewa ya kutosha. Muone mtaalam akupe antibayotiki huponya/kwa ushauri zaidiTenganisha kuku wenye ugonjwa. |
| Gumboro/Kuhara chokaa | Whitish diarrhoea | Fowl typhoid | Vifaranga kuharisha kinyesi cheupe, kupungua uzito,hushindwa kuhema,manyoya husimama,hutetemeka na hatimaye hufa. | Chanja vifaranga wakiwa na umri wa siku 1. Zingatia usafi wa banda, vyombo vya maji na chakula. Tumia mkaa. Hakuna tiba ya kitaalam |
| Viroboto/ Utitiri/ | Fleas/mites | Ectoparasites | Fleas around the eyes, Restlessness (Kutulia kwa muda mrefu bila kuchangamka) | Tumia kuweka majivu bandani. Kitaalam tumia dawa yenye unga kama poda. |
| Papasi | Soft ticks | Soft ticks | Sores on skin(Vidonda kwenye ngozi), Paralysis(ku, Anaemia | Tumia kuweka majivu bandani. Kitaalam tumia dawa yenye unga kama poda. |
| kunyonyoka manyoya |
| Minyoo/bacteria | Kunyonyoka manyoya na kubaki mtupu. Shingo kurudi nyuma, kushindwa kula vizuri. | Tumia kinysi cha n’ombe. Kitaalam tumia Vitamin B12 na Egg Plus Fomula. |
| Kuhara choo cheupe | White Bacillary Diarrhoe |
| Zaidi ni kwa vifaranga kabla ya wiki 4 kuhara mharo mweupe. | Tumia mkaa, Alovera. Kitaalam tumia OTC+ |
| Homa ya matumbo | Bloody diarrhea/ Typhoid | Coccidiosis | Ugonjwa huu huambukizwa kupitia maji/mayai/kinyesi/kudonoana na mazingira machafu. Kuku huharisha mharo wa kijani, vilemba na upanga hupauka kutokana na upungufu wa damu,manyoya kusimama. | Tumia mkaa, Alovera. Vitunguu swaumu robo kilo ikitolewa maganda,ikatwangwa na kuchanganywa na maji lita 1,chuja na kuwapa maji yake kwa wiki 1. Ondoa kuku wenye ugonjwa na usitumie mayai yenye ugonjwa kuanguliwa vifaranga. Kitaalam tumia Furazolidone. Muone mtaalam |
| Kuvimba miguu | Swollen legs | Scaly legs | Scales on legs(mikato miguuni), lameness. | Tumia Alovera Muone mtaalam |
| Kipindupindu cha kuku | Fowl Cholera | Bacteria | Mharo wa njano, husinzia na kulegea,hulala kichwa kikining’inia kwenye mabawa,manyoya husimama,hushindwa kuhema na hatimaye hufa. | Imarisha usafi wa banda,vyombo na mazingira yake. Kitaalam unaweza kutumia dawa aina ya Salfa/muone daktari. |
| Mayai kuvunjika tumboni | Broken eggs in abdomen | Egg peritonitis | Sleepy, on PM broken eggs with foul smell | Muone mtaalam kwa u |