Millionaire  Ads

Friday, February 10, 2017

Tatua matatizo yako kwa Aloe lips, aloe liquids na Faida za kitunguu swaumu

Tags

ALOE LIPS

Ni bidhaa ndogo lakini inatumika kwa huduma ya kwanza, ina aloe vera , jojoba oil na nta ya nyuki ambayo husaidia kulainisha, kuboresha midomo na ngozi kwa ujumla .
Husaidia kuondoa mipasuko ya midomo, ukavu, vidonda na michubuko.
Pia husaidia na kuondoa maumivu na kuponya watu walio jikata, kung’atwa na wadudu na kuungua moto.
Bidhaa hii ikipakwa mwilini husaidia kufukuza mbu.
Kwa wenye matatizo ya kuvimba sehemu ya haja kubwa(haemorrhoids), ikipakwa husaidia kuu bacteria na kuondoa uvimbe

ALOE LIQUID SOAP                                    
Ni sabuni ya maji yenye ALOE VERA inayofaa kuosha uso, mikono na kuogea.

Husafisha sehemu yoyote ya mwili, kuondoa harara, chunusi, upele, miwasho, fangasi, kuua bacteria na kuifanya ngozi iwe nyororo.

Ni nzuri sana kuogeshea watoto kwa kuwa haitoi machozi na hufanya ngozi yake iwe laini na yenye unyevu unaofaa.

Husaidia matatizo ya ngozi kama pumu ya ngozi - eczema, psoriasis, dermatitis.

Haiwashi, inafaa sana kwa ngozi yoyote kwa kuwa ina PH sawa na ngozi na hii husaidia kupenya kwenye ngozi na kutoa uchafu wote uliojificha.

Inaweza kutumika kunyolea ndevu
Huacha ngozi ikiwa laini na yenye kuvutia.

Ni nzuri kuoshea sehemu za siri huzuia miwasho na harufu mbaya.
Kupata yako tuwasiliane

Kwa maelezo zaidi piga simu no

FAIDA ZA VITUNGUU SWAUMU
FOREVER GARLIC THYME
 Ni vitunguu swaumu vina Allicin inayotoa harufu na yenye sifa kubwa ya kuua bakteria waingiao kwenye mishipa ya damu na kudhuru Mapafu, kibofu cha mkojo na ngozi. Vitunguu swaumu hivi vimetengenezwa katika mfumo wa kidonge kimoja kisichotoa harufu ambapo kidonge kimoja ni sawa na 1000mg za vitunguu swaumu vibichi.
Pia ina Ajoene- Anti-clotting agent (kuzuia damu kuganda) na lecithin ambayo inasafisha na kuondoa mafuta yaliyoganda kama CHOLESTEROL SULPHUR iliyopo kwenye vitunguu swaumu hivi huua fangasi na bakteria hivyo kuzuia na kusaidia tatizo la mafua na candida albicans Germanium ni madini yaliyopo kwa ajili ya kuongeza kinga ya mwili na pia kurekebisha mfumo wa hewa, kuondoa maumivu, kusaidia mmeng'enyo wa chakula na ni ANTIOXIDANT.
FAIDA :
▶ Maumivu ya kichwa, koo, udhoofu wa mwili, huondoa ukuaji wa bakteria matatizo ya moyo, maini, fangasi, mafua, chunusi na mionzi, kuua minyoo.
▶ Inasaidia matatizo ya asthma, arthritis, cancer, insomnia, liver diseases.
▶ Husaidia kuondoa madhara ya chemotherapy na radiotherapy
▶ Matatizo ya diabetic eye na nerves.
[2/10, 01:21] Anno Tg: Arctic Sea imetokana na mafuta ya samaki aina ya Salmon anayepatikana kwenye Kina Kirefu cha bahari ya Arctic anayetoa Omega-3 na mafuta ya mizeituni inayotoa Omega-9. Mafuta haya yanasaidia sana kuondoa cholesterol.
-Inasaidia ukuaji na ufanyaji kazi mzuri wa ubongo (kurudisha kumbukumbu),
-Huongeza nguvu na kinga ya mwili,
-Hurekebisha hormones.
-Husaidia kupambana na kansa ya matiti, tenzi dume na stroke.
-Matatizo ya joint na kuweka mmeng'enyo wako wa chakula vizuri.
-Kuongeza kinga za mwili.
-Kurekebisha na kuboresha mayai ya mwanamke na mbegu za kiume.

Unaipenda Tanzania acha ujumbe hapa, comment
EmoticonEmoticon