LIFAHAMU TATIZO LA KUTOA HARUFU MBAYA UKENI!
Ni tatizo ambalo huwaathiri sana Dada zetu na kuwafanya wasiwe huru sana wanapokuwa faragha na wapenzi wao.
SABABU ZAKE;
-BACTERIAL VAGINOSIS
Hawa ni bacteria ambao hushambulia sehemu ya uke, bacteria hawa hutengeneza uchafu ambao hupelekea harufu katika uke, Mara nyingi bacteria hawa husababishwa na vitu mbalimbali ambavyo mwanamke/msichana ikiwapo kujisafisha uke kwa kutumia vidole na wale wanaoshiriki matendo kinyume na maumbile.
Pia Bacteria hawa hawaambukizwi au kusababishwa na zinaa ingawa watu wanaojihusisha na zinaa wapo katika hatari kubwa sana ya kupata tatizo hili.
MAGONJWA YA ZINAA
VAGINAL TRICHOMONIASIS ni ugonjwa ambao unaathiri sana wanawake, ugonjwa huu wa zinaa huambatana na dalili kama kutoa majimaji yenye harufu mbaya ukeni, ambayo huwa na rangi ya kijani na njano.
Gonjwa hili huambukizwa kwa njia ya zinaa.
GONORRHEA, pia hili ni gonjwa jingine la zinaa ambalo hupelekea kutoa majimaji machafu yanayonuka ukeni na huwasha
Tatizo hili huambatana na maumivu wakati wa kukojoa, maumivu wakati wa tendo la ndoa na maumivu chini ya kitovu.
FANGASI ZA UKENI
Pia huchangia kwa kiasi kikubwa kutoka kwa harufu ukeni.
Mara nyingi mwanamke mwenye tatizo hilo hupata sana miwasho ambayo huambatana na kutokwa na majimaji mazito ukeni yenye harufu.
KANSA YA UKE AU KANSA YA MLANGO WA KIZAZI
Huambatana na kutokwa majimaji ukeni yenye harufu mbaya na Kali
UCHAFU BINAFSI
Pia harufu chafu ukeni husababishwa na uchafu binafsi wa mwanamke kushindwa kujiweka katika hali ya usafi. Kutokufua nguo za ndani na pia kukaa mda mrefu bila kuoga.
JE UNASUMBULIWA NA TATIZO HILI NA BADO HUJALIPATIA UFUMBUZI?
WASILIANA NASI UPATE BIDHAA AMBAZO ZITAKUSAIDIA KUZITUMIA KUONDOA TATIZO LAKO NA KUWA KATIKA HALI NZURI,
PIA ZIPO BIDHAA KWA MTUMIAJI WA KAWAIDA ZA USAFI WA MWILI NA NGOZI
WASILIANA NASI
0716789967
0715676045
Wednesday, February 8, 2017
TAMBUA NINI TATIZO LA KUTOA HARUFU UKENI
Diterbitkan 7:55:00 AM
Tags
Artikel Terkait
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Unaipenda Tanzania acha ujumbe hapa, comment
EmoticonEmoticon