Millionaire  Ads

Tuesday, March 21, 2017

Ratiba ya Confederation Cup, baada ya droo kufanyika Cairo.....Yanga Vs?????????

Tags

Ratiba ya hatua ya mwisho ya mtoano.

By:
    Abineri Mwanuke.

Baada ya Dar es Salaam Young Africans
kutolewa katika michuano ya Club Bingwa Afrika
na Zanaco FC ya Zambia na kuangukia Kombe la
shirikisho barani Africa, leo March 21 2017
shirikisho la soka barani Afrika CAF
limechezesha droo ya mtoano wa mwisho.

Mwaka huu ambapo mashindano ya CAF
yamefanyiwa mabadiliko ya Club Bingwa na
Shirikisho na kuweka Makundi manne tofauti na
misimu iliyopita makundi mawili, imechezesha
droo na Yanga kuangukia dhidi ya MC Alger ya
Algeria , Yanga itaanzia nyumbani na baadae
kurudiana Algeria .

Unaipenda Tanzania acha ujumbe hapa, comment
EmoticonEmoticon