Kazi hii unaweza kuifanya kwa kutumia simu ya smartphone sio lazima uwe na kompyuta. Malipo ni mazuri sana. Hutajutia kufanya kazi hii yao uandishi kwenye blog. Unaweza kutuma maombi yako na kupewa blog leo hii hii tuma sms whatsap au telegram au wasapu kwa namba hii 0652428852
Thursday, March 30, 2017
Tumia simu yako kujiajiri kwa kuandika blog
Kazi hii unaweza kuifanya kwa kutumia simu ya smartphone sio lazima uwe na kompyuta. Malipo ni mazuri sana. Hutajutia kufanya kazi hii yao uandishi kwenye blog. Unaweza kutuma maombi yako na kupewa blog leo hii hii tuma sms whatsap au telegram au wasapu kwa namba hii 0652428852
Wednesday, March 29, 2017
Africa can develop if the technology will be used appropriately
The spread of GSM communication technology in African can help to eradicate poverty. Many Africans has adopted this technology positively. Each household owns more than one mobile phone. I wish I could do reach on this to prove this statement. I 'm seeking for stakeholders who can assist me to do reach on how GSM technology perform in Africa.
The community of today can receive money transfer money while in bed. They need not to go to bank premises to deposit their money or to withdraw money. Real technology has reduced time to move from home to banks waiting for seven hours to be attended by bank tellers.
Mobile phone is like one of the sense of organs. A man can not manage to go to church leaving his mobile phone home. He must take the phone to church and he can not switch off while praying despite the posters in the church that instruct prayers to switch off their mobile phone when entering the church.
This technology is like a new fashion of people, every one wants to go parallel with this fashion. No one can dare to be left behind. The rise of modern mobile phones like smartphone and Iphone has improved life style of Africans. There are millions of apps online from google play store, app store and other app stores. Africans use those apps to get information that can be used to improve their lives. App like whats app, wasapu, telegrams, facebook yahoo and google apps helps much to connect Africans and other continents. Information is development. Example rural Africans can get price of crops in town markets and decide to transport their crops or wait for crops price to increase so as Start advertising online without paying a single cent
There are some Africans who went further exploiting this technology. The rise of smartphone technology has come with improvement of internet access to Africans. Since many people use internet to get information now some Africans make huge revenues by creating blogs and publishing their interesting news and articles. Blogs make good revenues when a publisher is serious with blogging. Start a blog write useful contents create popularity then start selling ads to that blog
If you do not have idea about creating a blog we can help you for free or hire you to write our blog and pay you each month follow us using this number on whatsapp or telegram or wasapu +255652428852 We shall help you to start your own blogging job.
We welcome comments, write below.
Tuesday, March 28, 2017
Taifa langu kwanza, Ney wa mitego na wimbo uliosababisha akamatwe na polisi
Katika pita pita yangu mitandaoni nikakutana na habari ikielezea kuwa Ney wa mitego amepata mwaliko ikulu kwa rais na siku moja nyuma niliona sehemu imeandkwa Rais Magufuli aamuru Ney wa mitego aachiwe huru kwani Hata yeye rais amependa wimbo huo pia anamshauri Ney wa mitego kuendelea kukosoa na aende mbele zaidi akosoe hata wale wanaouza madawa ya kulevya na kuyatumia.
Unaweza toa maaoni kwa comment hapa chini. Kumbuka matusi kashfa hazirihusiwi. Sheria ya makosa ya kimitandao isije kukuangukia. Jadili kwa lengo la kujenga si kubomoa. Pia unaweza kuungana na watanzania wenzio kujadili chochote kwenye forum maarufu Tanzania bonyeza hapa "Taifa langu kwanza."
---------------------------------------------------------------------------------------------------
Announcement: We hire bloggers, Do you want to start blogging business? We give you a blog and we pay you per each blog user who read your blog. The blog will contain our advertisements but you will be allowed to place unlimited local advertisement and earn more money. Using telegram or whats app check us +255652428852 you will start blogging business today and create your own job
Do you know wasapu social network? Wasapu is the best app that you can make free calls and send unlimited sms, wasapu pays group admins. Create a group then add members last wait for salary each month. Download "Wasapu" from google play
Saturday, March 25, 2017
Join wasapu social network that pays group admins
Thank you for taking time to read this good news, You have been using social networks for many days but how to do you benefit from those social networks?Tuesday, March 21, 2017
DAWA KWA ANAEKABILIWA NA VIPELE BAADA YA KUNYOA
Kwa kutumia Aloe gentleman's pride na Aloe face and soap. Zitakusaidia kuondoa changamoto ya muwasho na vipele baada ya kunyoa.
Kwa mawasiliano namba 0656780825
#aftershave
#razonbumps
Ratiba ya Confederation Cup, baada ya droo kufanyika Cairo.....Yanga Vs?????????
Ratiba ya hatua ya mwisho ya mtoano.
By:
Abineri Mwanuke.
Baada ya Dar es Salaam Young Africans
kutolewa katika michuano ya Club Bingwa Afrika
na Zanaco FC ya Zambia na kuangukia Kombe la
shirikisho barani Africa, leo March 21 2017
shirikisho la soka barani Afrika CAF
limechezesha droo ya mtoano wa mwisho.
Mwaka huu ambapo mashindano ya CAF
yamefanyiwa mabadiliko ya Club Bingwa na
Shirikisho na kuweka Makundi manne tofauti na
misimu iliyopita makundi mawili, imechezesha
droo na Yanga kuangukia dhidi ya MC Alger ya
Algeria , Yanga itaanzia nyumbani na baadae
kurudiana Algeria .
"Msikubali kuangushwa na wachache, ninyi ni wengi" Hussein Bashe.
Mb. Hussein Bashe
By:
Abineri Mwanuke.
March 21, 2017 Mbunge wa Nzega mjini kupitia
CCM Hussein Bashe amepost ujumbe kupitia
ukurasa wake wa Instagram wenye maneno
yaliyosomeka…>>>' Kama taifa wazee wetu
walipoanzisha harakati za kudai uhuru na
hatimaye tukaupata mwaka 1961 walikuwa na
malengo '
' Upo uwezekano mkubwa kwamba sisi viongozi wa
sasa tumewaangusha ninyi raia katika kufikia
malengo ya waasisi wetu ' –Hussein Bashe
' Msikubali kuangushwa na sisi wachache, nyinyi
ni wengi mna mamlaka na nguvu ya kututaka sisi
kuwafikisha kwenye malengo ya Uhuru ' –Hussein
Bashe
' Ni jambo la hatari kwa taifa inapotokea viongozi
wakakosea na kutoka nje ya malengo, wananchi
wakakaa kimya na kuogopa kuonya, kushauri,
kukosoa au hata kukemea sababu tu ya woga au
hofu.'- Hussein Bashe
' Tutakua tunajenga taifa la raia waoga msiingiwe
na woga juu ya kudai haki zenu na kututaka sisi
viongozi kutimiza wajibu wetu ' -Hussein Bashe
' Kwa kushindwa kwenu kutukemea au kutushauri
tunapokengeuka sote tunaingia katika kundi moja
la kuwakosea na kuwasaliti wazee waliopigania
UHURU wa taifa letu. TUJISAHIHISHE ' –Hussein
Bashe
"Msikubali kuangushwa na wachache, ninyi ni wengi" Hussein Bashe
March 21, 2017 Mbunge wa Nzega mjini kupitia
CCM Hussein Bashe amepost ujumbe kupitia
ukurasa wake wa Instagram wenye maneno
yaliyosomeka…>>>' Kama taifa wazee wetu
walipoanzisha harakati za kudai uhuru na
hatimaye tukaupata mwaka 1961 walikuwa na
malengo '
' Upo uwezekano mkubwa kwamba sisi viongozi wa
sasa tumewaangusha ninyi raia katika kufikia
malengo ya waasisi wetu ' –Hussein Bashe
' Msikubali kuangushwa na sisi wachache, nyinyi
ni wengi mna mamlaka na nguvu ya kututaka sisi
kuwafikisha kwenye malengo ya Uhuru ' –Hussein
Bashe
' Ni jambo la hatari kwa taifa inapotokea viongozi
wakakosea na kutoka nje ya malengo, wananchi
wakakaa kimya na kuogopa kuonya, kushauri,
kukosoa au hata kukemea sababu tu ya woga au
hofu.'- Hussein Bashe
' Tutakua tunajenga taifa la raia waoga msiingiwe
na woga juu ya kudai haki zenu na kututaka sisi
viongozi kutimiza wajibu wetu ' -Hussein Bashe
' Kwa kushindwa kwenu kutukemea au kutushauri
tunapokengeuka sote tunaingia katika kundi moja
la kuwakosea na kuwasaliti wazee waliopigania
UHURU wa taifa letu. TUJISAHIHISHE ' –Hussein
Bashe
Thursday, March 16, 2017
Mwandishi wa blog hii Muhimu
Saturday, March 11, 2017
TRENI YA KIFAHARI YAFIKA NCHINI IKITOKEA SOUTH AFRIKA
Source:millardayo.com
Leo March 11 2017 Nchini Tanzania imewasili
Treni ya Kifahari ya Kitalii ya Rovols Rail, Treni
ambayo imeingia na jumla ya watalii 71, Ripoti
kutoka kwa wasafiri waliiambia Ayo TV na
millardayo.com kuwa wameanza safari yao
kutoka South Africa March 1 2017.
Kwa mujibu wa msemaji wa Treni hiyo ya
Rovols Rail amezungumza na Ayo TV na kusema
wamepita nchi ya Botswana, Zimbabwe, Zambia
na leo March 11 2017 ndio wameingia rasmi
Tanzania.
' Ni safari ambayo tumeianza March 1 2017 na leo
March 11 2017 tumeingia Tanzania tunatarajia
kuzifanya safari hizi mara tano kwa mwaka na hii
ya leo ndio safari yetu ya kwanza'- Querida
Vented
By
Abineri mwanuke.





