Millionaire  Ads

Saturday, March 11, 2017

TRENI YA KIFAHARI YAFIKA NCHINI IKITOKEA SOUTH AFRIKA

Tags

Source:millardayo.com

Leo March 11 2017 Nchini Tanzania imewasili
Treni ya Kifahari ya Kitalii ya Rovols Rail, Treni
ambayo imeingia na jumla ya watalii 71, Ripoti
kutoka kwa wasafiri waliiambia Ayo TV na
millardayo.com kuwa wameanza safari yao
kutoka South Africa March 1 2017.

Kwa mujibu wa msemaji wa Treni hiyo ya
Rovols Rail amezungumza na Ayo TV na kusema
wamepita nchi ya Botswana, Zimbabwe, Zambia
na leo March 11 2017 ndio wameingia rasmi
Tanzania.

' Ni safari ambayo tumeianza March 1 2017 na leo
March 11 2017 tumeingia Tanzania tunatarajia
kuzifanya safari hizi mara tano kwa mwaka na hii
ya leo ndio safari yetu ya kwanza'- Querida
Vented

By
    Abineri mwanuke.

Unaipenda Tanzania acha ujumbe hapa, comment
EmoticonEmoticon