Wabunge wa chama cha mapinduzi wamesema wanatafuta majibu ili kujibu kashfa zilizo tolewa na Mh. Mbowe kwa wabunge wa CCM kwani zinawachafua wao, cham pamoja na serikali ya Rais Magufuli.
Mbowe alidai kuwa wabunge wa CCM walipewa shilingi milioni kumi (10000000) kila mmoja ili kupitisha Muswada wa habari uliotolewa na Waziri Nape Nnauye.
wanesema msemaji wa chama chao Mh. Olesendeka atatoa kauli au tamko juu ya tuhuma hizo.
Imeandikwa na:
Abineri Mwanuke
Unaipenda Tanzania acha ujumbe hapa, comment
EmoticonEmoticon